Kwanini kweli inakataliwa kama hamna dhulma ndani yake au bc Mungu ndio kila kitu na awakinge na ngao yake takatifu amen 🙏, natamani sana nami ningekuwa miongoni mwenu lv
ongela jaj mkuu tunataka haki itendeke watanzania hatuna imani na tamisemi tunataka tume huru mungu muongoze jaji asikie kilio cha watanzania tupate tume huru na sio tamisemiusijihushe uchaguzi
Ee mungu wewe ndie ulie umba hii nchi tunakuomba e utusaidie tz nchi ambayo unaipenda ukamweka mtu na haki ,ukatipa ili tuimiliki tunaomba simama kati ya adui atakaetamani kupotosha haki ya watu wako umesema kwenye neno lako utamwaharibu yuleaharbue tusaidie wewe peke Yako weka katiba iliotoka kwako amen
@@visionstudios6804siwalaumu ni taratibu za kazi lazima kuwe na balance vinginevyo hakutakua na haja ya mahakama tunapaswa kujifunza na kuilewa mihili ya taifa bila kuingiliwa na kila mhimili una mamlaka yake Bunge ni kutunga sheria mahakama inazitafsiri serikali ni watekelezaji wa sheria na kuzimamia kwa kufuata sheria kwani hakuna aliye juu ya sheria tulizokubaliana isipokuwa Mungu pekee
Ukishirikiana na mdhulumaji huwezi kukwepa kuwa mdhulumaji. Mawakili wa serikali Mungu atahukumu kutosimamia haki ya Watanzania. Hata asiyeenda shule anatambua kuwa Tamisemi hawana uhalali wa kusimamia uchaguzi.
Tume ya uchaguzi inafanya KAZI gani . Waziri anafanyaje KAZI ya tume ya uchaguzi? Hata sijui wakili huyu shetani wa serikali ameshakuwekea mkia kinywani.
mungu awe upandewetu na awape maono ya vifungu zaodi na ushindi hata kusimamisha kwanza kabla mauaji kwa uchaguzi huu hauja endelea zaidi ya mauaji haya ni ya uchaguzi siwanaona hata hao wanasheria tafadhari bwana na mungu wetu awakinge na hao maadui
Mungu awape ujasili mkubwa kuwasaidia watanzania mawakili wa kujitegeme mnapambana sana watanzania wapate haki zao za msingi mungu asimame mbele ya nyuso zenu na familia zenu kwa ujumla
kwamba hawa mawakili wa serikali hawaelewi wazi kuwa wanaaibisha taaluma yao coz sheria iliyotungwa na bunge juu ya wizara ya tamisemi kusimamia uchagua haipo sawa mana nae ni mhanga wa uchaguzi sasa hapo wanatetea hoja dhuluma ama kweli kunawatu na viatu.
Mimi naungana nanyi kupinga uchanguzi kusimamiwa na uchanguzi, kwa sababu Sheria ukisha sainiwa na raisi mana yake imepewa amuli ya kufanya kazi kwahio Sheria imesha pitishwa ya kuipa mamulaka tume ya uchanguzi, Sasa huyo waziri mchengerwa anawezaje kuanda uchanguzi kama siyo kwa masilahi yao, kama serikali, kwahio niseme tu mawakili wetu Wana tuwakilisha wananchi tunawaunga mkono na mungu awasimamie na majaji niwaombe watende haki, ipasavyo, wasifanye kazi kwa maelekezo wafanye kazi kama walivo somea taruma hio
😮Mheshimiwa wakili wa Serekali, unayo haki ya kuitetea serekali kwasababu tu ni mwajiri wako. Lakini ndani, nafsini mwako unaona TAMISEMI haistahili kujitungia kanuni za kusimamia uchaguzi, haki haiwezi kutendeka. Mkwewe Rais akawe sehemu ya haki kwenye kuwaamua mama mkwe na mgomvi wake? Mwajiriwa awezaje kuwa sehemu ya haki kwenye kuamua ugomvi kati ya mwajiri wake na mgomvi mwenzie?
Asanteni sana mawakili wetu na Watanzania watatu wazalendo wa kweli kupinga Tamisemi kusimamia uchaguzi wa serialised za mitaa. Haki isingetendeka haha kidogo.
nawapongeza mawakili wa umma kwa hstua hii ya awali japo hata hiyo tume ya taifa itakayopata jukumu la usimamizi endapo tamisemi itabatilishwa nayo pia haiko huru kwakuwa mteuzi wa wakurugenzi wake bado atabaki kuwa yuleyule; lakini huwezi jua, labda patakuwa na ahueni kidogo uchaguzi ukisimamiwa na hiyo tume; tusubiri hadi mwisho tuone matokeo; umma wa watanzania bado tunasafari ndefu hadi kuipata kwenye chaguzi zetu
Sasa ni hivi, tuanzishe utaratibu wa kuchangisha watanzania koote nchini ili kupata gharama na mda wa wazalendo hawa ili tuweze kujumuika Kama watanzania katika hili Jambo nawaombeni🫶🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
>TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI NI KUENDELEZA MAZOEA YA WANUFAIKA WAKUU..YALIYOKWISHA FELI! >WALETA MAOMBI, KWA NIABA YA WANANCHI KUWAONDOA TAMISEMI WAKIENDELEA MAHAKAMANI...KURA YA MAONI INGEWEZEKANA INGEONYESHA WAZI KIASI GANI TAMISEMI INAAMINIWA AU KUTOAMINIWA NA WANANCHI!
Mungu azidi kuwalinda mawakili wetu wazalendo mnaosimama upande wa haki ya wananchi, Mungu awabariki. Tnasubiria hatua inayofuata kesi ya msingi. Tunaomba Mungu awasimamie,Mungu asimame katika haki. Haki ishinde dhuluma. Mawakili wa serikali ni machawa wa serikali, hawana hoja za msingi naona anabwabwaja tu maneno! Pia wakapimwe afya ya akili!
Watatetea serikali watanzania tuelewe bila katiba mpya hapa hatutoki nawapongeza wanasheria kwa juhudi zao lakini mjue kwamba mahakama Tanzania ndo serikali
Weweeeee mwanasheria sijui wa serikali hili Swala linaku pambania hata pamoja na weweee kwahiyo nakuomba ujiondoe maaana mda unaweza kuwa ndio sasa na a mini usiamini mda utafika🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mubarikiwe sana wazalendo wa kweli kutuwakilisha wananchi Watanganyika
Mahakama imesimama upande WA haki
Asanteni sana Mawakili wazalemdo tunawaombea
Weldone Mpoki na Jebra Mungu huwa hawahi Wala hachelewiMumgu atakuwa pamoja na Wataania hila huwa haidumu milelei
Big up mama Ananlea Nkya and yr 2 comrades 4 yr patriotism
Hongereni sana!!! WAZARENDO WETU. MUNGU WA HAKI AWATANGULIE. (MWABUKUSI HOYEEEEE!TUME HURU NA KATIBA MPYA NI SASA)
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿Hongereni Hongereni,hili ndilo dili sasa✍️🏿
Safi sana hapo naona matumaini
Asante sana mahakama imetenda kazi njema
Big up mahakama sasa nimeanza kua na matumaini na mahakama zetu
Safi sana mawakili wazalendo tupo pamoja haki itende kazi walioweka mambo hayo kwa masilahi yao wapigwe chini
Good start,Congratulation!
Najua watanganyika tupo Hatha nzuri ukomboz was watanganyika.
Mungu tusaidie tuondoe viongozi misukure.
Hongeren sana Wangwe.....
Kwanini kweli inakataliwa kama hamna dhulma ndani yake au bc Mungu ndio kila kitu na awakinge na ngao yake takatifu amen 🙏, natamani sana nami ningekuwa miongoni mwenu lv
Yaan ukiwa wakili wa serikali unakua kama juha wallh yaan jambo linahusu maslah ya umma nyie wala hamjali kwakua t mnatetea ugali serikali n ccm yake
Safi sana
Hongera sana wanasheria wetu wawananchi tuko pamoja
Hongereni....aluta continua!
Hongereni waleta maombi.
Nawaomba muwe waangalifu msijetekwa kabla ya kufungua kesi
Nimefulai sana
ALUTA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU.
Haleluya aaameeen abarikiwa mheshimiwa jaji nawaheshimiwa wakili wasomi
Taratibu tuu mambo yatakaa sawa kwa neema ya Mungu
Yaani serikali inapingana na wananchi wake!
Hii ni aibu sana!
Serikali badala itetee wananchi yenyewe inapigana na wananchi😂😂😂😂, Duhh!!
Ni sawa na wazazi kushindana na watoto wao😂😂,very intresting 😢😂
MUNGU Asante naombauzidikunizihirisha kwenye hii nchi kila silaha iliyokinyume uihesabu Kua mkosa amen
Hongera
Safi sana, wawakilishi wetu. Mungu atusaidie, ili uchaguzi usimamishwe.
Nendeni kwenye hatua ya pili tusikie sheria mtakayotumia kusimamisha uchaguzi!Na mkishindwa mkubali vilevile!
@@godwinshoo5032usiporidhika sheria zinaruhusu rufaa pande zote
Watu wa haki wakiongoza taasisi kama TLS utaona haki ikisimamiwa kwa maslahi ya raia.
Serekali inaongozwa na mambumbumbu Yani tusimamiwe uchaguzi na mchengerwa mvuvi WA kambale rufiji pumbafu sana
ongela jaj mkuu tunataka haki itendeke watanzania hatuna imani na tamisemi tunataka tume huru mungu muongoze jaji asikie kilio cha watanzania tupate tume huru na sio tamisemiusijihushe uchaguzi
Mungu awabariki sana awatangulie
Ee mungu wewe ndie ulie umba hii nchi tunakuomba e utusaidie tz nchi ambayo unaipenda ukamweka mtu na haki ,ukatipa ili tuimiliki tunaomba simama kati ya adui atakaetamani kupotosha haki ya watu wako umesema kwenye neno lako utamwaharibu yuleaharbue tusaidie wewe peke Yako weka katiba iliotoka kwako amen
Hongera wazalendo Hongera kwa mwamuzi Hakiitendeke❤
Wenye Nia mbaya na nchi yetu hakika watashindwa Kama wakoloni walivyoshindwa na kukabidhi nchi.
Mawakili wa serikali mnapaswa kuwa na hofu ya Mungu
Kama uyo deo anadhalilisha ukoo wake mzima 😢
@@visionstudios6804siwalaumu ni taratibu za kazi lazima kuwe na balance vinginevyo hakutakua na haja ya mahakama tunapaswa kujifunza na kuilewa mihili ya taifa bila kuingiliwa na kila mhimili una mamlaka yake Bunge ni kutunga sheria mahakama inazitafsiri serikali ni watekelezaji wa sheria na kuzimamia kwa kufuata sheria kwani hakuna aliye juu ya sheria tulizokubaliana isipokuwa Mungu pekee
Mwabukusi Oyeeeeeeee
Hongeleni.sana.watanzania.watatu.endeleenikutuwakilisha.tuko.pamoja
Hongereni sana tuko pamoja
Ukishirikiana na mdhulumaji huwezi kukwepa kuwa mdhulumaji. Mawakili wa serikali Mungu atahukumu kutosimamia haki ya Watanzania. Hata asiyeenda shule anatambua kuwa Tamisemi hawana uhalali wa kusimamia uchaguzi.
mwenyezi Mungu atutangulie sisi watanzania tunaonyonywa na watu wachache na kunyimwa haki zetu za kupiga kura bira kuingiliwa na selikari
Saf sana Jebra kambole mama Nkya na wengine saf sana lisaidiaeni taifa wajuz wa sheria😊
Hawa mawakili WA selikali inabidi wapimwe akili yani sijui Wanafany hi kwa manufaa yanani
Jebra ❤
Hofu ya mungu iwe nanyi mnao simamia Sheria za chaguz
Bora Mungu awe upande wa mawakili wetu wa TANGANYIKA na WATANGANYIKA na serikali ishindwe.
Mungu awatangulie wanasheria wetu lakin pia wazir was mambo ndan awalinde waleta shauri hao had hatima ionekane Asante.
Aibu tupu kwenu Mawakili wa serikali msifanye mambo kwakufuata mkumbo
SAIVI MAHAKAMA TU TUMAINI YA TAIFA MAANA HUKU KUNA WASOMI WENGI...NA HUKUMU ZINAISHI HATA MIAKA 1000 ZITATUMIKA..SAFI MAHAKAMA.
TAMISEMI wao wenyewe wanajua kuwa kusimamia UCHAGUZI Ni kama ubakaji wa democratic free and fair elaction unaoforciwa na walionacho,
Mungu awasaidie,aweke mkono wake
Tume ya uchaguzi inafanya KAZI gani . Waziri anafanyaje KAZI ya tume ya uchaguzi? Hata sijui wakili huyu shetani wa serikali ameshakuwekea mkia kinywani.
mungu awe upandewetu na awape maono ya vifungu zaodi na ushindi hata kusimamisha kwanza kabla mauaji kwa uchaguzi huu hauja endelea zaidi ya mauaji haya ni ya uchaguzi siwanaona hata hao wanasheria tafadhari bwana na mungu wetu awakinge na hao maadui
Mungu wa mbinguni awasimamie tuko pamoja katika kuomba jambo hili lipate kibali
Ahsanteni sana waungwana, nchi hii inatakiwa wapewe wanyonge.
Mungu awape ujasili mkubwa kuwasaidia watanzania mawakili wa kujitegeme mnapambana sana watanzania wapate haki zao za msingi mungu asimame mbele ya nyuso zenu na familia zenu kwa ujumla
Huyu mwenye kifua kipana (mchengelwa)hafai kabisa kisimamia uchaguzi
mbalikiwe sana mawakiri wazalendo mpaka hapo ata mimi ntapiga kura
Dalili njema ya haki kushibda 💪💪💪
Hongereni mawakili
Kumbe ukiwa wakili wa serkali na uzalendo unaweka kando
Serikali yetu haijawa tayari hata kwa haki ya kupigiwa kura kwa mgombea binafsi licha ya mahakama kuamua uwepo wa mgombea huru !!
Ikiwezekana uchaguzi usifanyike Kwa maana Hawa tamisemi wanahujumu uchaguzi na ninyi mawakili wa serikali muogopen mungu
kwamba hawa mawakili wa serikali hawaelewi wazi kuwa wanaaibisha taaluma yao coz sheria iliyotungwa na bunge juu ya wizara ya tamisemi kusimamia uchagua haipo sawa mana nae ni mhanga wa uchaguzi sasa hapo wanatetea hoja dhuluma ama kweli kunawatu na viatu.
Mimi naungana nanyi kupinga uchanguzi kusimamiwa na uchanguzi, kwa sababu Sheria ukisha sainiwa na raisi mana yake imepewa amuli ya kufanya kazi kwahio Sheria imesha pitishwa ya kuipa mamulaka tume ya uchanguzi, Sasa huyo waziri mchengerwa anawezaje kuanda uchanguzi kama siyo kwa masilahi yao, kama serikali, kwahio niseme tu mawakili wetu Wana tuwakilisha wananchi tunawaunga mkono na mungu awasimamie na majaji niwaombe watende haki, ipasavyo, wasifanye kazi kwa maelekezo wafanye kazi kama walivo somea taruma hio
Judge ameamua kukataa maagizo kutoka juu kwa jinsi anavyoona nchi inaangamia chini ya ccm
👏🏻👏🏻
Mawakili wa serikali kwani hamna ndugu wanaoathirika na huu mchakato wa ovyo ukipitishwa?
Bwana Hangi Umechemka bwana
Hayo ndiyo mambo fungua halaka na mapema hao ni wahun sana ccm mwaka huu watajimbika wafunge mizingo waondoke mapema sana.
😮Mheshimiwa wakili wa Serekali, unayo haki ya kuitetea serekali kwasababu tu ni mwajiri wako. Lakini ndani, nafsini mwako unaona TAMISEMI haistahili kujitungia kanuni za kusimamia uchaguzi, haki haiwezi kutendeka. Mkwewe Rais akawe sehemu ya haki kwenye kuwaamua mama mkwe na mgomvi wake? Mwajiriwa awezaje kuwa sehemu ya haki kwenye kuamua ugomvi kati ya mwajiri wake na mgomvi mwenzie?
Hapo mahakama mnaanza kutuletea matumaini katika kutoa haki kwetu
Jitahidini pia mkishindwa kupongeza
Asanteni sana mawakili wetu na Watanzania watatu wazalendo wa kweli kupinga Tamisemi kusimamia uchaguzi wa serialised za mitaa. Haki isingetendeka haha kidogo.
Mungu awasimamie ndugu zetu tuko nyuma yenu
Mnapaswa kutetea maswali ya Umma badala ya serikali
Tunataka uchaguzi wa tume huru
Mungu anawaona namna mnavyotaka kupindisha ukweli na haki ya watanzania
Tunaomba mahakama utusaidie wananchi tumechoka tunataka haki itendeke mungu awe katikati yenu
Sasa hao mawakili wa serikali ni vihiyo au maana hawajawahi kushi nda kesi.mi nina wasiqasi na vyeti vyao vya taaluma
nawapongeza mawakili wa umma kwa hstua hii ya awali japo hata hiyo tume ya taifa itakayopata jukumu la usimamizi endapo tamisemi itabatilishwa nayo pia haiko huru kwakuwa mteuzi wa wakurugenzi wake bado atabaki kuwa yuleyule; lakini huwezi jua, labda patakuwa na ahueni kidogo uchaguzi ukisimamiwa na hiyo tume; tusubiri hadi mwisho tuone matokeo; umma wa watanzania bado tunasafari ndefu hadi kuipata kwenye chaguzi zetu
Sasa ni hivi, tuanzishe utaratibu wa kuchangisha watanzania koote nchini ili kupata gharama na mda wa wazalendo hawa ili tuweze kujumuika Kama watanzania katika hili Jambo nawaombeni🫶🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mawakili wa serikali hawana tofauti na watekaji na wauaji hawana hata aibu wamejaa dhuluma tupu
Serikali utetezi ni kwa ajili ya wananchi au means serikali siyo ya wananchi aibu sana.
Acha kutukoroga ww wakil wa serekali hatutak tamisemi wasimamie na tanzania nzima hatutakiiiiiii hamuwez kujitekenya wenyewe mkacheka wenyewe
>TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI NI KUENDELEZA MAZOEA YA WANUFAIKA WAKUU..YALIYOKWISHA FELI!
>WALETA MAOMBI, KWA NIABA YA WANANCHI KUWAONDOA TAMISEMI WAKIENDELEA MAHAKAMANI...KURA YA MAONI INGEWEZEKANA INGEONYESHA WAZI KIASI GANI TAMISEMI INAAMINIWA AU KUTOAMINIWA NA WANANCHI!
Bluefire mawakili 😢bado tupambane kudai haku
Hapo Sawa na mwenyenzi MUNGU awatangulie viongoziwetu kwa mapambano kwa manufaa kwa wananchi. Big job
Mungu azidi kuwalinda mawakili wetu wazalendo mnaosimama upande wa haki ya wananchi, Mungu awabariki. Tnasubiria hatua inayofuata kesi ya msingi. Tunaomba Mungu awasimamie,Mungu asimame katika haki.
Haki ishinde dhuluma.
Mawakili wa serikali ni machawa wa serikali, hawana hoja za msingi naona anabwabwaja tu maneno! Pia wakapimwe afya ya akili!
Watanzania tunaunga mkono ongera
Hata sura yako inaonyesha una roho mbaya sana
Watatetea serikali watanzania tuelewe bila katiba mpya hapa hatutoki nawapongeza wanasheria kwa juhudi zao lakini mjue kwamba mahakama Tanzania ndo serikali
Mahakama kwa hili imetenda linalostahili kulingana na wakati
Tumeaza kuwazomea ninyi watekaj shenz
Huna lolote mmezoea kubebwa Leo Mungu kawapiga kofi
inapendeza
Sikuhizi mahakamani kumedamshi balaaaaa
Kambona alitoka kwa Nyoni wote ni wakataa wingi wasaliti watani wangu wangoni jifiunzeni kwa Kinjekitile Ngwale na vita vya Majimaji
Kama mlijua kuwa wamekwenda kwa wakati mahakamani mlipeleka pingamizi yaninii ? Au ili mlipwe mshahara ili muonekane mko kazini ? Au mko fild ?
Hao mapumbavu wanaojiita mawakili wa serikali veti ni vya mchongo wanatetelea samia na family yake sio watanganyika 6:03
kwanini watu wanajua sheri a wanachezea sheria
Weweeeee mwanasheria sijui wa serikali hili Swala linaku pambania hata pamoja na weweee kwahiyo nakuomba ujiondoe maaana mda unaweza kuwa ndio sasa na a mini usiamini mda utafika🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿